share Internet yako kutoka kwenye Laptop bila kutumia kifaa chochote
Maranyingi watu wamezoea
kushare Internet kutoka kwenye simu ya mkononi kuja kwenye Laptop na vifaa
vingine, Leo tunakufundisha njia rahisi ya kushare internet jutoka kwenye
Laptop yako na kwenda kwenye vifaa vingine ikiwa na nguvu kuliko njia ya
kutumia simu.
1) Hakikisha Laptop yako ina Internet Tayari, inawezekana ikawa ni
internet ya cable au modem.
2) Hakikisha Laptop
yako ina Internet Tayari, inawezekana ikawa ni internet ya cable au modem
4) naweza kuunganisha sasa,na baada ya hapo waweza
kuunganisha simu na vifaavingine kufurahia wireless yenye kasi zaidi. kumbuka
Password utaiona hapo juu ( Maranyingi ni 1234567890)
share Internet yako kutoka kwenye Laptop bila kutumia kifaa chochote
Reviewed by Positive thinking
on
3:41 AM
Rating:
No comments