HIZI NDIZO SABABU 5 ZA MIKWARUZO KATIKA MAISHA.
Hizi nisababu chache tu za migongano ya kila
siku.
1 Kutaka kulinganisha au
kufikiri kuwa mwanaume nisawa na Mwanamke kwa kuwaza na kutenda.
2. Kufikiri kuwa kwa kua umeingia ndani ya ndoa basi kazi imekwisha, ukaamua kujibweteka.
3 . Kufikiri kwamba kwa kuwa mmeshapata watoto sasa ufatiliaji wa maendeleo yao yakielimu au kitabia nikazi ya mwanamke.

4. Kufikiri kuwa hisia za mama yako mzazi
zinatofautiana na mwanamke ulie muoa, nakusahau kuwa hao wote ni wanawake
kihisia.
5. Kufikiri kwa-kuwa Mwenyezi Mungu alitukirimu neema, basi hata tusipo jishughulisha, neema ipo na ita jishugulisha yenyewe kwetu.
5. Kufikiri kwa-kuwa Mwenyezi Mungu alitukirimu neema, basi hata tusipo jishughulisha, neema ipo na ita jishugulisha yenyewe kwetu.
HIZI NDIZO SABABU 5 ZA MIKWARUZO KATIKA MAISHA.
Reviewed by Positive thinking
on
2:39 AM
Rating:
No comments