IMANI
IMANI NINI?
1. .Ni kuyasema yasiyokuwako kana kwamba yamekuwa pasipo shaka moyoni (Warumi 4:17),
2. Ni kutangaza mwisho wa jambo tangu mwanzo wake pasipo hofu kama afanyavyo Mungu (Isaya 46:9-10),
3. Ni uhakika wa mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana (Waebrania 11:1),
4. .Ni kuamini kwamba yale uliyoyaomba kwa Mungu umeyapokea mara tu umalizapo kuomba (Bwana Yesu, Marko 11:23-24),
CHANZO CHA IMANI

MISINGI YA IMANI(Mathayo8:23-27)
1. Imani ipo katika viwango mbalimbali vinavyopimika.( mfano imani ndogo na kubwa)
2. Unaweza ukawa na Yesu na usiamini kwamba anaweza kukusaidia.( Marko 4:36-41.)
3. Unaweza kuwa na imani lakini ipo pengine na si kwa Yesu( Luka 8:22-25.)
MAMBO YA KUJIFUNZA KUPITIA IMANI
1. Hofu/mashaka/woga/kusitasita ndio maadui za imani. (Waebrania 10:38, Marko 11:22).
2. Unapokuwa katika jaribu/changamoto haupaswi kuutazama ukubwa wa jaribu bali udumu ukiamini kile ambacho Mungu amesema kwa habari ya eneo ambalo unalipitia (Yohana 3;14, Hesabu 21:4-9).
3. Jizoeze kufanya tathmini ya kiwango cha imani yako kwa kuangalia kama kinatosheleza kutatua changamoto

Reviewed by Positive thinking
on
4:45 PM
Rating:
No comments