Recent comments

MAOMBI

MAISHA YA MAOMBI

Maombi

  •    Ni kuzungumza na Mungu sawa sawa na ahadi za Mungu katika neno lake(Yeremia1:12).
  • Kwa hiyo maombi tunapata ushirika na Mungu na hilo ndilo moja la lengo kuu la maombi. Kwa hiyo umuhimu wa maombi ni sawa na hewa ya OXYGEN katika maisha ya mwanadamu bila ya hewa OXYGEN mwanadamu lazima atakufa.
  • Kwa hiyo  maombi  ni ya muhimu sana maana ni uhai na pia moja ya njia ya kuwasiliana na kupata ushirika na Mungu wetu.

LENGO LA MUNGU KATIKA UUMBAJI WAKE.

  1.    Mungu alimwumba  MTU kwa mfano wake na sura yake ilia pate kushirikiana naye na hasa katika fani ya uumbaji wake (Mwanzo1:26).
  2. Hivyo lengo kuu lilikuwa ni ili apate ushirika katika kuzungumza naye, na ndiyo maana ilikuwa ni kawaida ya Mungu wakati wa jua la kupunga hushuka ilia pate kuzungumza na Adamu katika bustani ya Edeni.
  3. Kwa hiyo mwanadamu alipoteza ushiriki huo baada ya kutenda dhambi lakini hata hivyo Mungu ashukuriwe kaitka Yesu Kristo Mungu(Mwanzo3:20-24, Isaya1:18, Yohana3:16)
NAAMA YA KUOMBA

1.   Kumwendea Mungu katika maombi kwa unyenyekevu wote (Yakobo4:10)
2.   Kumwendea Mungu kwa Imani (Yakobo1 :26, Ebrania11:6)
3.   Kuomba kwa moyo wote (Yeremia 29:13)
4.   Kuomba kwa bidii (Luka18:1-17)
5.   Kuomba kwa mzigo (Warumi8:26-27, Mithali21:13)
6.   Kutunza sanamu ndani ya moyo wako (Ezekieli8:5-18, 14:1-3)

      Ni kuzungumza na Mungu sawa sawa na ahadi za Mungu katika neno lake(Yeremia1:12).

     Kwa hiyo maombi tunapata ushirika na Mungu na hilo ndilo moja la lengo kuu la maombi. Kwa hiyo umuhimu wa maombi ni sawa na hewa ya OXYGEN katika maisha ya mwanadamu bila ya hewa OXYGEN mwanadamu lazima atakufa

     Kwa hiyo  maombi  ni ya muhimu sana maana ni uhai na pia moja ya njia ya kuwasiliana na kupata ushirika na Mungu wetu.

LENGO LA MUNGU KATIKA UUMBAJI WAKE

  1. Mungu alimwumba  MTU kwa mfano wake na sura yake ilia pate kushirikiana naye na hasa katika fani ya uumbaji wake (Mwanzo1:26).
  2.  Hivyo lengo kuu lilikuwa ni ili apate ushirika katika kuzungumza naye, na ndiyo maana ilikuwa ni kawaida ya Mungu wakati wa jua la kupunga hushuka ilia pate kuzungumza na Adamu katika bustani ya Edeni.
  3.  Kwa hiyo mwanadamu alipoteza ushiriki huo baada ya kutenda dhambi lakini hata hivyo Mungu ashukuriwe kaitka Yesu Kristo Mungu(Mwanzo3:20-24, Isaya1:18, Yohana3:16)

NAAMA YA KUOMBA

1.   Kumwendea Mungu katika maombi kwa unyenyekevu wote (Yakobo4:10)
2.   Kumwendea Mungu kwa Imani (Yakobo1 :26, Ebrania11:6)
3.   Kuomba kwa moyo wote (Yeremia 29:13)
4.   Kuomba kwa bidii (Luka18:1-17)
5.   Kuomba kwa mzigo (Warumi8:26-27, Mithali21:13)
6.   Kutunza sanamu ndani ya moyo wako (Ezekieli8:5-18, 14:1-3)

MAOMBI MAOMBI Reviewed by Positive thinking on 5:12 PM Rating: 5

No comments

Recent